Makamu wa Kwanza wa Rais-Zanzibar Ajitokeza katika kinyanyiro cha kugombea Umakamo Mwenyeti ACT

Na Mauwa Mohammed  Zanzibar Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo  Othman Masoud Othman amesema ameamua kuomba nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho ili apate nafasi ya kushirikiana na wenzake katika kutimiza malengo ya chama hicho. Hayo aliyasema mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huko  Afisi Kuu ya Chama